Naija Music - Naija - NaijaVibe Music - Naija Vibe - Nigeria Music - Naija Vibe - Naija Vibe - NaijaVibe Music Download -

LYRIC

NaijaVibe

Harmonize – Sandakalawe

Harmonize – Sandakalawe Lyrics

(Yaw Yaw)
Yebooo

Konde boy call me number one
So much money in the bank money
All dem girls call me honey
Only your love can turn me to a mad man

Leo nakuto..totoo nakutoa kwenu uje kwangu
Nina hamu yakuto..totoo kutoa mahali uwe wangu
Basi sema unakuja saa ngapi ama kwenu umeshakatazwa
Said kichwa nitamueka wapi na mkongo nimeshampakaza
Iyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza
Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza

Wahuni sandakalawe amina aah mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?
(mweupee)
Ah sandakalawe amina na mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?

Leo nataka kukuto..too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto..too kutoka na wewe
Jiandae leo na kuto..too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto..too kutoka na wewe
(Yebooo)

(Yeah)
My beautiful baby from juba I wanna take you to dubai
Yes am ready to do that do that
Hasa twende popolipo lipopoo popolipo lipopoo
popolipo lipopoo popolipo lipopoo
Iyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza
Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza

Wahuni sandakalawe amina aah mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?
(mweupee)
Ah sandakalawe amina na mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?

Leo nataka kukuto..too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto..too kutoka na wewe
Jiandae leo na kuto..too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto..too kutoka na wewe
(Yebooo)

Leo nataka kukuto….too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto..too kutoka na wewe
Jiandae leo na kuto..too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto..too kutoka na wewe
(Yebooo)


Added by

StiphBami

SHARE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

NaijaVibe